Inawezekana
raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya jeshi letu la
Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo hasa inapotakiwa
kuvitumia.
April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50 ya Muungano wetu
kati ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaliwa kwa Tanzania.
Miongoni mwa vitu ambavyo vilivyovuta hisia za wengi ni namna vifaa
vya Jeshi la Wananchi vilivyokuwa vikipita huku MC akitoa maelezo ya
kila kimoja,hizi ni baadhi ya picha za vifaa hivyo vya JWTZ.
0 Comments