Baada ya kuacha Madawa ya kulevya kwa
sasa Ray C amenenepa sana tofauti na muonekano wake wa Mwanza kipindi
kile cha kiuno Mfupa...Je unapenda muonekano upi kati ya huu wa sasa na
ule wa zamani wa kiuno mfupa? ....cheki picha hapo chini enzi
zake...Alafu ucomment
0 Comments