Advertisement

Responsive Advertisement

BREAKIN NEWZZ:- BABA WA MBUNGE MAARUFU MTATA WA CCM AFARIKI AKIWA KWENYE NDEGE!!!!

Mzee Florian Filikunjombe (78), baba wa Mbunge maarufu mtata wa CCM jimbo la Ludewa amefariki Dunia akiwa ndani ya Ndege akitokea Dubai alikokuwa amekwenda kwa matibabu ya ugonjwa wa Kansa. Alitazamamiwa kuzikwa leo huko kwao Ludewa.

Post a Comment

0 Comments