Msanii
Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake 7 alizozipata katika Tuzo za
Kilimanjaro 2014 (KTMA).
|
Mshindi wa
tuzo (7) za Kilimanjaro
Music
Awards,
Diamond
Platnumz akiwa
katika pozi
na mpenzi wake
Wema Sepetu.
|
Aidha Huu
ndio Mpangilio wote wa WASHINDI WOTE WA TUZO ZA KTM 2014,MEI 03:-.
Tuzo la
Wimbo Bora Wenye Vionjo vya Asili vya Tanzania limeshindwa na… Bora Mchawi -
Dar Bongo Massive.
Msanii Bora
Chipukizi Anayeibuka ni Young Killer.
Wimbo Bora
wa Zouk kwa 2014 ni... Yahya - Lady Jaydee.
Wimbo Bora
wa Afro Pop ni Number One - Diamond Platinumz.
Kwa mwaka
2014, Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall ni... Chibwa Ft. Juru – Nishai.
Wimbo Bora
wa Reggae ni Niwe na Wewe – Dabo.
Wimbo Bora
wa Taarab kwa mwaka huu ni... Wasi Wasi Wako-Mzee Yusuf.
Tuzo la
Kikundi Bora cha Taarab limeshindwa na Jahazi Modern Taarab.
Mwimbaji
Bora wa Kike - Taarab ni... Isha Ramadhani.
Mwimbaji
Bora wa Kiume - Taarab ni... Mzee Yusuf.
Washindi wa
Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi kwa mwaka 2014 ni... Ushamba Mzigo - Mashujaa Band.
Mwimbaji
Bora wa Kike - Bendi ni Luiza Mbutu.
Mwimbaji
Bora wa Kiume - Bendi ni Jose Mara.
Rapa Bora wa
Mwaka - Bendi ni Ferguson.
Tuzo la
Bendi ya Mwaka limeshindwa na... Mashujaa Band.
Mwimbaji
Bora wa Kike - Kizazi Kipya imeenda kwa... Lady Jaydee.
Mwimbaji
Bora wa Kiume - Kizazi Kipya kwa mwaka huu ni... Diamond Platinumz.
Wimbo Bora
wa R&B - Closer - Vanessa Mdee.
Kikundi cha
Mwaka cha Kizazi Kipya ni... Weusi.
Wimbo Bora
wa Hip-hop kwa mwaka 2014 imechukuliwa na... Nje ya Box - Nikki wa Pili Ft Joh
Makini na Gnako.
Tuzo la
Msanii Bora wa Hip-hop limeenda kwa... Fid Q.
Wimbo Bora wa
Kushirikisha/Kushirikishana ni... Muziki Gani - Ney Mitego Ft. Diamond.
Wimbo Bora
wa Afrika Mashariki - Jose Chameleone – Tubonge.
Mtunzi Bora
wa Mwaka - Taarab... Mzee Yusuf.
Mtunzi Bora
wa Mwaka - Bendi... Christian Bella.
Mtunzi Bora
wa Mwaka - Kizazi Kipya imeenda kwa... Diamond.
Mtunzi Bora
wa Mwaka - Hip-hop ni... Fid Q.
Mtayarishaji
Bora wa Nyimbo wa Mwaka - Bendi – Amoroso.
Mtayarishaji
Bora wa Nyimbo wa Mwaka - Kizazi Kipya ni... Man Water.
Hall of Fame
- Individual - Rehan Bitchuka.
Hall of Fame
- Institution - Masoud Masoud.
Video Bora
ya Muziki ya Mwaka - Number One - Diamond Platinumz.
Wimbo wa
Mwaka.... Number One – Diamond.
Mtumbuizaji
Bora wa Kike wa Muziki... Isha Ramadhani.
Mtumbuizaji
Bora wa Kiume wa Muziki... Diamond Platinumz.
0 Comments