was so shocked jamany, and i said is it this lulu
whom i know? Kumbe mahaba yao sio kama ya
wale ambao wabongo wengi walishaweka
kwenye maskio na vichwa vyao itakuwa
mapenzi naah,
Da truth is lulu have told
makubwa haya, she likes to be with joti
because, he is the one who makes her happy
most of the time, coz akiwa na joti akisema
neno lake moja 2.
joti basi huwa mim kama lulu
nacheka na ananichekesha kweli haha, n kwa
kufanya hivyo inasababisha kuniondoa yale
mawazo na matatizo niliyokuwa nayo b4, so
guys for sure i love this guy n he is the best
freind to me.
Nadhani kwa wale ambao
walishawah kukaa na joti watakuwa
wananielewa zaidi.
0 Comments