Lady
Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu
ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo,
shabiki yake
akamuuliza kupitia twitter na Lady Jay Dee Akamjibu Kwani Zimeshafanyika? Akiwa na Maana Hajui kama Tuzo hizo zilishafanyika na Hajui kama Alishinda...
0 Comments