Jackline Wolper |
Wolper alisema kuwa wanaosema hivyo itakuwa ni
mashabiki wa Kanumba ndiyo maana baada ya kufariki wanaona soko
limeshuka kwasababu walizoea kununua kazi zake. Akizungumza katika The
Sporah Show Wolper alisema .....
"Ngoja
nisawazishe hapo, kila mtu ana mashabiki wake, ana msanii wake. Kuna
mtu anaweza akawa anampenda Kanumba tu hampendi mtu mwingine yeyote kwa
hiyo alikuwa anachukuwa movies za Kanumba tu, na kuna mwingine anaweza
akawa anampenda Wolper tu ujuee!.
Unajua kuna mashabiki wa hivyo ambao
wanaingia hata front kupigana ukimsema Wolper, ukimsema nani? sijui
nani? you know, kwahiyo mimi ninaweza nikasema huyo ni shabiki yake sana
Kanumba.
Kwahiyo anaona Kanumba amekufa basi ndio kila kitu kimekufa.
Kama juzi hivi nimefululiza kufanya movies kama tatu na Ray, wale ambao
wanasema zimeshuka labda hawajapita madukani kuangalia lakini movies
zipo nyingi tu"
Wolper na Sporah |
0 Comments