Belle
9 ni miongoni mwa wasanii wakali nchini ambao hawajawahi kuwa na bahati
na tuzo za Kilimanjaro na mwaka huu bahati haikuwa kwake pia. Kukosa
kwake tuzo kumewaumiza mashabiki wake akiwemo Elizabeth Michael aka
Lulu.
Kupitia Twitter, Lulu ameandika:
Lulu akimkabidhi tuzo Vanessa Mdee kwenye usiku wa KTMA weekend iliyopita
Kauli
ya Lulu imempa moyo Belle 9 ambaye ameiambia Bongo5: "Nachoweza kusema
hapo Lulu kuna kitu amekiona kwenye muziki wangu ndio maana akasema
kauli hiyo. Hii inanipa nguvu zaidi ya kuongeza juhudi zaidi kwa kile
ninachokifanya ili nifike mbali zaidi. Kama Lulu kasema hivyo hebu
jiulize ni wangapi? Wanatambani kitu kama hicho,kwahiyo ni dhahiri kuna
watu wengi sana wanafuatilia muziki wangu.
0 Comments