Akichangia jana Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu.
Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
0 Comments