Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine
imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiyo
ambayo ilikuwa imebeba wanajeshi 6 wa Marekani wakitoka Entebe kuelekea
South Sudan imetua kwenye barabara ya magari baada ya hitilafu kutokea
ikiwa hewani.
Lakini kwenye hii ajali hakuna aliyepata majeraha au kufariki kutokana na taarifa ya msemaji wa polisi nchini Uganda.
credit:millady.ayo
0 Comments