Hivi
unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena
ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na
kuwafanya wale waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo
kuwafanya walikosea kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapo
Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.
0 Comments