Mmea
unaojulikana kama chikanda uliopo katika hifadhi ya kitaifa ya Kitulo
mkoani Njombe kusini Magharibi mwa Tanzania sasa unakabiliwa na hatari
ya kuangamia.
Hi ni baada ya kuvamiwa na watu wanaoamini kuwa unatibu maradhi ya Ukimwi.
Biashara ya kuusafirisha na kuuza mmea huo imekuwa ikinoga kati ya eneo hilo na mataifa jirani ya Zambia na Malawi.
via >>fichuotz

0 Comments