Msanii
wa maigizo Elizabeth Diana Michael aka Lulu jana jioni aliwakumbuka
watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na
kujumuika nao kwenye #Futari iliyo andaliwa na msanii huyo.. Lulu
aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu mbali
mbali... Mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan amesema wamefarijika
sana kuona Lulu amewakumbuka.
Mama Kanumba nae alikuwepo.
0 Comments