Msanii
anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Alice Bagenzi
‘Rayuu’ amesema amekuwa akisikia maneno ya chinichini kwamba
ameenda Sumbawanga Kuroga….
Tetesi
hizo za Rayuu kwamba ameenda Sumbawanga kuroga zimeanza kuvuma
baada ya watu kuhoji kuwa jina lake linaonyesha yeye ni
Mhaya, lakini chakushangaza amekuwa akienda Sumbawanga mara kwa
mara….
Kumtafuta
mrembo huyo ambaye amekuwa akiandamwa na kashfa ya kutembea
na waume za watu na kusambaza picha za utupu ili kujua ukweli
wa mambo ambapo msanii huyo alifunguka kuwa:
“Nawashangaa
sana watu wanaosema nimekuja Sumbawanga kuroga, sio kweli, huku
nimekuja kusalimia.Naipenda familia yangu ndo maana nimeitembelea
na ntakaa kwa muda huku kwani huwa nai miss sana nikiwa Dar”
0 Comments