Stori: Musa Mateja
Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunt ambaye gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko liliripoti tukio la kutaka kufanyiziwa na mke wa dansa huyo aitwaye Mwengi Ally, alisema anamshangaa mwanamke huyo lakini ili kumkomoa atahakikisha anafanya kweli ili kama ni kunuka, kinuke kihalali.
Alisema kwamba yeye ni mke wa mtu asiyeweza kujirahisi kwa kutembea na kijana huyo na kwamba kama ni kujuana ni kwa sababu ya Diamond ambaye ni shemeji yake kwa Wema.
“Amenichafulia sana, siwezi kutembea na Moze, najiheshimu. Lakini kwa kuwa ameamua kunipakazia, nitahakikisha namtega mumewe na nikimnasa nampa penzi ili kama ni hizo vurugu azifanye kihalali,” alisema Aunt na kusisitiza:
“Siwezi kuwa na uhusiano na Moze, yule mwanamke alikuwa na nia ya kuifanya jamii inifikirie vibaya lakini amenoa.” Hivi karibuni kundi la watu likiongozwa na Mwengi lilifika nyumbani kwa Wema Sepetu likimsaka Aunt ili kumshikisha adabu kutokana na madai ya kutoka na mume wa mtu huyo.
GPL
Advertisement
Advertisement
Please Share your Comment Below

Hot Gossip News This Week
-
Habari zilizotufikia, Samaki Mtu ama Nguva ni Samaki adimu kabisa duniani kumtia machoni ameonekana amefariki ama amekufa pembeni mwa...
-
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee mfano 1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nak...
-
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao: 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenz...
-
" Nimeshindwa kuvumilia... Huyu Binti wa Kagame ni a REAL definition of beauty... #natural Beauty... kuna ile story ya Cleopatra a...
-
Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS...
-
Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa. ushabiki wa Wema kwa ...
Copyright © 2013. Udaku Special | Home of Gossip News -
12 comments: