Dancer wa Kundi La wasafi linalotumiwa
na Diamond Platnumz ameamua kumwacha Aunty Ezekiel na kurudiana na
mpenzi wake waliyezaa nae mtoto mmoja, kwa mujibu wa Baby Mama wa Moze
Iyobo bibie Mwengi amefunguka kuwa ni kweli AUnty Ezekiel alikua
anatoka na bwana wake lakini baada ya yeye kushtukia mchongo huo
akamuuliza na Moze akakiri kuwahi kuhusiana kimahaba na Star Bongo Movie
Aunty, Iyobo Ameomba msamaha na sasa wako Sawa na Mkewe
Hot Gossip News This Week
-
Habari zilizotufikia, Samaki Mtu ama Nguva ni Samaki adimu kabisa duniani kumtia machoni ameonekana amefariki ama amekufa pembeni mwa...
-
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee mfano 1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nak...
-
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao: 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenz...
-
" Nimeshindwa kuvumilia... Huyu Binti wa Kagame ni a REAL definition of beauty... #natural Beauty... kuna ile story ya Cleopatra a...
-
Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS...
-
Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa. ushabiki wa Wema kwa ...
Copyright © 2013. Udaku Special | Home of Gossip News -
0 Comments