Advertisement

Responsive Advertisement

DR SLAA: WABUNGE WA CHADEMA WALIOENDA BUNGE LA KATIBA TULISHA WAPUUZA

Akiongea kuhusu wabunge wachama chake kuingia bunge la katiba, kupitia redio one katibu mkuu wa CHADEMA amesema wote walioenda kwenye bunge la katiba walishapuuzwa na chama mda mrefu.
 
Amesema adhabu sio lazima iwe ya wazi hata kupuuzwa ni adhabu pia.

Post a Comment

0 Comments