Kutana
na ya moyoni mwa Tunda Man, staa wa bongofleva kutokea kundi la Tiptop
Connection ambapo amepost picha kadhaa na maelezo yake kwenye mtandao wa
instagram.
Ya kwanza ni hiyo hapo juu akiwa kasimama mbele ya mabango
yanayomuhusu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa anaetajwa sana kuhusu
Urais wa Tanzania 2015 ambapo kwenye maelezo ya hiyo picha Tunda Man
aliandika ‘fotmation yetu ni 4-4-2′ Post
nyingine alizoweka Tunda man ni hizi hapa chini akiwa nchini Kenya
ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya kupona toka apate mshtuko na mwili
kukosa nguvu sekunde chache baada ya kupokea simu ya namba asiyoifahamu
ambayo sio ya Afrika Mashariki.
0 Comments