Advertisement

Responsive Advertisement

ilikuwa ni Ni time ya @VanessaMdee na dancers wake kwenye stage ya FIESTA 2014 Mwanza.


Vanessa 5Naona staa mwingine ambae wengi wanatamani awepo kwenye kila jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 linalopita kwenye mikoa 18 ambapo baada ya Mwanza weekend iliyopita ya August 9 2014, ni zamu ya Bukoba weekend hii.

Ndani ya muda mfupi ujao chini kabisa kwenye hii post kutakua na video ya Vanessa Mdee akiperform hit single yake ya ‘closer’
Vanessa 3
vanessa 4
Vanessa 2
Vanessa 1

Tazama V Money akiifanya ‘closer’ kwenye stage ya Serengeti Fiesta 2014 Mwanza kwa kubonyeza play hapa chini

Post a Comment

0 Comments