![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZYx-bCYGvGxK3qCzDNUQW2qHIy3fnWa-pNMOBacNO8WtbzpByqB8sM4Bl_zGoD5HXAjWo_EoTXkciO6FjziI9WYteCHlKqza6IkDuraHvZEKdCgjEIqmA4j9SK4A5Prm6YLLB5E_qc2nl/s1600/WIZ.jpg)
Wizkid amekutana na hali hii mara nyingi lakini mpya inatokana na
picha za alizo-post kuonyesha behind the scene ya video yake mpya. Video
hiyo imefanyika huko Miami na baadhi ya scene zake zimefanyika kwenye
Yatch.
Kitu amchacho hakijawapendeza mashabiki wake ni kutokana na Wiz Kid
kutumia ni video models wazungu na walatino bila kutoa nafasi kwa model
mweusi hata mmoja. Kutokana na Wizkid kutokea Africa, mashabiki wake
wanadhani ingeleta maana kwa kuhusisha models weusi lakini haukuwa
hivyo.
Hiz ni baadhi ya comment za mashabiki hao na chini ni picha za video hiyo.
0 Comments