![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMq52u70aZcWGO9vA6tpfNHx6upHRQ1hYGdIQQ16SdAB2K8FadWXHAxa3_RJ1f829zN-mY7quUQzunLYUb8kvuGeKBe5XyStxoQvQc50DKh3jA0Di2ZKJ1-junYAnEr-nf_wOdvfSZoSBd/s1600/BECKAM.jpg)
Wawili hawa wametambulishwa na marafiki zao na kuanza urafiki wa
karibu hatimaye kuanzisha uhusiano wa kimapenzi. Sources zinasema kwamba
David Beckham na Victoria Beckham wanajua kinachoendelea kati ya mtoto
wao na Chloe Moretz. Wote kwa pamoja imeripotiwa wamempa baraka mtoto
wao kuendelea na uhusiano huo
0 Comments