Kupitia
mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai
Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali
kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.
Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka
kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye[Wema],Wema Sepetu
akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu
amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi
kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’
Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu>>’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali’.
98.6 Clouds Fm inasikika ukiwa Musoma.
Bonyeza play kusikiliza.