Kupitia
mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo
ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na
kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.Kupitia
You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu
kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye[Wema],Wema Sepetu
akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu
amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi
kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’
Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu>>’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali’.
Bonyeza play kusikiliza.