Advertisement

Responsive Advertisement

YAMOTO BAND WAPAWISHA KAHAMA.....TAZAMA MATUKIO SHOW ILIVYOKUWA.

 Vija wa Yamoto Band jana walikuwa katika mji wa Kahama na kufanya bonge la show katika Ukumbi wa Masobo, Hizi ni picha za matukio yaliyojiri jana katika ukumbi wa Masabo.
yamoto band wakiwa katika picha ya pamoja  baada ya kutoka katika interview na redio kahama fm katikati ni mtangazaji na mmiliki wa mtandao huu. beka mtanzania






























Post a Comment

0 Comments