Mrembo
na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini
Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila
malipo yoyote….
Tiara
amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz. Kama ni
Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo…!!!!!Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ? Ongeza Utundu mama.
Tazama Video hapo chini:
0 Comments