Katika video ambayo Mama Kijacho Zari Tlale amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram wakiwa faragha, Diamond anaonekana akifurahia kufuatiliza wimbo huo na kulipachika pia jina la Zari kwenye mstari alioungeza mwenyewe.
“Niko busy napata upepo wa bahari, niko Burundi nimetulia na mtoto Zari,” anasikika akirap Chibu.
Kama ulikuwa hujui, Diamond na Mr Blue waliwahi kuwa na beef kisa akiwa ni Wema Sepetunga!
Mtazame hapo chini.
0 Comments