Papa Francis (PICHANI)amewachagua makadinali 20 wapya akiwemo kutoka mataifa ya Tonga,Ethiopia na Myanmar.
Kumi
na tano kati yao wako chini ya umri wa miaka 80 swala linalowafanya
kuingia katika mkutano faragha ili kumchagua atalkayemrithi papa.
Papa
Francis amesema kuwa uteuzi wa makadinali hao kutoka mataifa 14 kutoka
kila bara duniani unaonyesha kuwa uhusiano wa karibu wa Vatican na
makanisa ya kikatoliki kote duniani.
Makadinali hao wataapishwa rasmi tarehe 14 mwezi February.
Papa
Francis pia alitangaza kuwa siku ya jumapili kwamba ataongoza wa
makadinali wote ili kujadiliana kuhusu usimamizi wa kanisa hilo huko
Vatican mnamo tarehe 12,13 februari.
Makadinali hao wapya ni:
Manuel Jose Macario do Nascimento Clemente (portugal)
Berhaneyesus Demerew Souraphiel (Ethiopia)
John Atcherley Dew (New Zealand)
Edoardo Menichelli (Italy)
Pierre Nguyen Van Nhon (Vietnam)
Alberto Suarez Inda (Mexico)
Charles Maung Bo (Myanmar)
Francis Xavier Kriengsak Kovithavanij (Thailand)
Francesco Montenegro (Italy).
Daniel Fernando Sturla Berhouet (Uruguay)
Ricardo Blazquez Perez (Spain).
Luis Lacunza Maestrojuan (Panama)
Arlindo Gomes Furtado, (Capo Verde).
Soane Patita Paini Mafia (Tonga)
Jose de Jesus Pimiento Rodríguez (Colombia)*
Luigi De Magistris (Italy)*
Karl-Joseph Rauber (Germany)*
Luis Hector Villalba (Argentina)*
Julio Duarte Langa (Mozambique)
0 Comments