Pichani ni binti huyo akiwa ameuawa na watu wasiojulikana
Habari tulizozipata kutoka Shinyanga
Vijijini ni yametokea mauaji katika kijiji cha Solwa wilayan Shinyanga
ambapo binti anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 17 amekutwa amekatwa
katwa
mapanga na kufariki papo hapo usiku wa kuamkia leo alhamis Februari
19,2015.
credit ..malunde blog Taarifa kamili tutawaletea baadaye kidogo,tafadhali endelea kutembelea Bongo na matukio blog....
0 Comments