Moja ya ladha ambazo huwa zinakosekana masikioni mwa wapenzi wengi wa muziki ni kuzisikia collabo za wasanii wa kike.
Mastaa kutoka Nigeria wametuletea hii, ni collabo poa ya Emma Nyra, Cynthia Morgan na Victoria Kimani.
Wimbo unaitwa ‘Vex’, karibu uisikilize hapa.
0 Comments