Hata cjui niongee nini ila dah mmevuka mipaka sasa hivi mh Rais Dr
Jakaya Mrisho kikwete hivi ni kweli hamuwajui wauwaji au?? Maana kila
nikikaa hainiingii akilini hivi hao wauwaji wana utaalam gani wa
serikali kushindwa kuwatia mkononi au mnataka tuwafikirie nini jamani
kwamba mbahusika au? Au hii sio issue ya kitaifa mkaichukulia mkazo kama
mnavyochukulia zingine inaniuma sanaaaaaaa na ninakata tamaa na nchi
yangu kila siku zinavyozidi kwenda natamani niiikimbie hii nchi niende
mbali ambapo labda sitoweza kushuhudia huu ukatili unaoendelea ndani ya
nchi mnayoiita nchi yenye amani.
maisha yetu yapo hatarini mh Raisi cjawahi kujutia kuzaliwa hivi am always proud na nilivyo lakini this time aahh ee mungu Nisamehe mja wako kwa mara ya kwanza najutia kuwa na hii hali nikiwa katika nchi mbovu kama hii mnayoiita nchi yenye amani johana Rip mdogo wangu poleni sana familia nzima ya mtoto Yohana sina nguvu ya kutetea zaidi ya kuongea hisia zangu hapo nipo nipo ninapotamani zaidi kuwa na nguvu katika serikali ili niweze kutetea haki zetu by actions ngoja nisome kwa bidii ili tukutane huko huko stop killing us tuacheni tuwe katika nchi yetu @
SHARE UJUMBE HUU ILI KILA MTU AONE NA MUNGU ATAKUBARIKI.

0 Comments