Evelyne mwenye miaka 27 raia wa Missouri, Marekani, amekiri kuwa yeye hupendelea kunywa mvuke wa air freshner na anasema alianza tabia hiyo akiwa na umri wa miaka 2A0.
Anasema kawaida anaweza kumaliza makopo
20 ya manukato hayo ndani ya siku saba na alivutiwa nayo kwa mara ya
kwanza wakati anakunywa juisi na manukato hayo kuingia ndani ya glasi
yake.
“Natambua kuwa ina madhara kiafya lakini ninapoitumia hujisikia raha na sioni kama ina tatizo lolote kwangu”- Evelyne
0 Comments