
Mara
ya kwanza ilikua ni zamu ya Iyanya kushirikishwa na Diamond Platnumz
lakini time hii ni zamu ya Diamond kushirikishwa na Mnigeria huyu staa
wa hit single ikiwemo ‘
Mr. Oreo‘
Iyanya ameamua kuiita hii single jina la Kiswahili ‘
Nakupenda’ (I Love you) ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini, usiache kutuandikia yako maoni baada ya kuusikiliza mtu wangu
0 Comments