TID amesema kuwa hataki kuzungumzia suala hilo kwa sababu Q Chief akisikia ndio atataka kuzungumza zaidi na yeye hataki kuyazungumzia kwa kuwa yameshapita.
Ishu ya kumsimamia msanii Abulnas amesema kwa sasa kazi inaenda vizuri, anatarajia kufanya ngoma yake ya pili na msanii Wyre kutoka Kenya na tayari ameshatumiwa beat lakini hawatoiachia.
TID amesema akimuangalia msanii huyo anakumbuka maisha ya rafiki yake Albert Mangwea ingawa hawezi kuziba pengo lake lakini ni rafiki ambaye yuko nae muda wote.
Ili kusikiliza mazumngumzo hayo kutoka kwenye XXL bonyeza play hapa
0 Comments