Wakati
idadi kubwa ya watu duniani ikiendelea kupinga mapenzi ya jinsia moja
ambayo yamehalalishwa na baadhi ya nchi kubwa duniani, Russia limetolea
hili jingine jipya.
Ni habari ambayo imezungumziwa sana kwa saa kadhaa zilizopita baada
ya Wanawake wawili ambao ni wapenzi wa jinsia moja kupiga picha mbele ya
Mwanasiasa maarufu kwa kupinga mapenzi ya jinsia moja.
Wanawake hawa walijikuta kwenye ndege moja na Mwanasiasa huyo
wakitokea Moscow kwenda St. Petersburg ambapo waliamua kupiga picha ya
selfie wakipigana busu huku Mwanasiasa akionekana nyuma yao.
Waliipost picha baadae na kuandika ‘
Sisi
tunafuraha, yeye hawezi kuwa nayo… lakini kwani nani anajali?’ Milonov
hakusema chochote baada ya kugundua tunapiga picha ila alijificha’
0 Comments