Ofcoz najua kupenda sijui kutenda na nikikupenda nimekupenda ndo mana
mtoto kasalenda.usithubutu kupendwa na mziwanda.mana napenda mpaka
naboa.No cheating inakua safari njema sana na yenye amani ya moyo na
maisha yangu pia' Mziwanda Unazungumziaje Nuhu Mziwanda?
0 Comments