Hii
ni picha ambayo inonyesha baadhi wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es
Salaam ambao pia wamefariki katika ajali ya gari ambalo liliangukiwa na
kontena eneo la Changarawe lililopo mji mdogo wa Mafinga mkoani Iringa.
Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea jana.
Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha.
0 Comments