Rais Kikwete akiwapa mkono wa pole wahanga wa mvua
Rais Kikwete akizungumza na baadhi wa wahanga wa mvua.
Akiwa Mwakata Rais Kikwete amesema serikali inatafuta
pesa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 403 kwa ajili ya waathirika wa mvua hiyo na
kuahidi kuwapatia chakula wahanga wa mvua hiyo.
Rais
Kikwete akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Shinyanga
baada ya kuwasili mjini Kahama katika uwanja wa ndege wa Buzwagi kwa
ajili ya ziara yake kuwatembelea wahanga wa mvua ilinyosha Mwakata
Kahama na kuua watu wengi
Rais Kiwete baada ya kuwasili wilayani Kahama leo
Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM
Mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya akimwongoza mheshimiwa Rais kuwaona wahanga wa mvua katika kijiji cha Mwakata Kahama
Rais Kikwete akiwapa mkono wa pole wahanga wa mvua
Rais Kikwete akiendelea kuwapa pole wakazi wa Mwakata
Rais Kikwete akiwa katika makazi ya muda ya wakazi wa Mwakata katika shule ya msingi Mwakata
0 Comments