Advertisement

Responsive Advertisement

Ni Diamond na Linex tena kwenye hii Kolabo mpya #Salima video.

linenga1Linex na Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wanaounda kundi la Lekadutigite ambalo ni ndani yake lina mastaa wengine kama Ali Kiba,Recho,Abdul Kiba,Baba Levo,Mwasiti,Queen Darlin na wengine wengi.
Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani ni miongoni mwa kolabo ambazo yeye na Diamond haikupangwa,Diamond aliukuta wimbo studio akaupenda akamfahamisha Linex wakaamua kufanya kwa pamoja singo inaitwa Salima,hii ni singo ya pili kwa Linex kufanya na Diamond baada ya ile ya kwanza iliyoitwa Nitaificha wapi.
Bonyeza play kutazama wimbo huu.
IBRAHIMOVIC ADAI CHELSEA WALIKUWA KAMA WATOTO WAKISHADADIA KUTOLEWA KWAKE. MSHAMBULIAJI wa klabu ya Paris Saint-Germain-PSG, Zlatan Ibrahimovic amesema wachezaji wa Chelsea walijifanya kama watoto wakati wa tukio ambalo lilipelekea kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Nyota huyo wa kimataifa wa Sweden alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo Oscar katika dakika ya 31 ya mchezo lakini PSG walifanikiwa kuwang’oa Chelsea katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kutoka nao sare ya mabao 2-2. Ibrahimovic amesema wakati akipewa kadi nyekundu wachezaji wote wa Chelsea walikuja kumzunguka hivyo akaona kama amezungukwa na watoto wengi. Nyota huyo aliendelea kudai kuwa alivyopata kadi hiyo ilimchanganya kwakuwa hakuitegemea hususani kwa muda ule lakini anashukuru wachezaji wenzake waliendelea kucheza bila kukata tamaa na mwisho matokeo yakawa upande wao.

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Post a Comment

0 Comments