Advertisement

Responsive Advertisement

CHADEMA NOMAAA!! HEBU ANGALIA JINSI WALIVYOFUNIKA LEO HUKO ITILIMA MKOANI SIMIYU


Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA  Taifa Freeman Mbowe kijijini Lagangabili jimbo la Itilima mkoani Simiyu  leo jioni wakati wa uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura-Picha zote na mpiga maalumu wa Malunde1 blog

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo  (CHADEMA) Freeman Mbowe akiwahutubia  wananchi wa wilaya ya Itilima katika Mkutano wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya Lagangabili makao makuu ya ya wilaya

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

Post a Comment

0 Comments