Rehema Chalamila aka Ray
C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri
kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko
zamani!
Ray C ambaye alitamba na
nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa
anahisi uwezo wake wa kukatika umeongezeka zadii kutokana na unene.
“Sina tofauti na Ray C
wa zamani,” alisema. Ray C ni yule yule, kiuno cha zamani ni kile kile.
Sema sasa hivi kina nyama kidogo kwahiyo sasa hivi nikifanya kidogo tu
yaani ni rahisi zaidi kwangu.”
0 Comments