Ile show inayosubiriwa
kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari
pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3
za kitanzania na cha chini ni elfu 50.
Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.
And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...
50,000/= 100,000/= VIP
1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....
3,000,000/= VVIP Table
plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the VIP &
VVIP Table booking Call +255755700400 )......
( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015
50,000/=
100,000/= VIP
1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure
3,000,000/=VVIP sambamba
na Ticket 8 na Vinywaji vya Bure vya Milioni Moja...) kwa maelezo na
Kuwai Meza piga +255755700400 #KIMENUKA
0 Comments