Wema anaojiwa sasa hivi na Gardner G Habash, anasema ni namna gani anammiss Diamond.
"Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana".
Anaendelea... "Sometimes
uwa naweka nyimbo zake kwenye gari langu sababu pamoja na yaliyotokea mi
ni shabiki na nimefall sana kwake... Najua kuna watu wataichukulia
vibaya kwamba oooh oooh amemmiss amemmiss ila mimi nimeamua kuwa honest.
Kuna kipindi inanitokea tu nammiss sana unajua kuna vitu tulishea na
yale mazoea kwa kweli nammiss ata yeye najua ananimiss ila anajifanya
tu.
Nilishawai kumtext lakini
hakunijibu, lakini namjua mwenzangu mkishakaa mbali ana zile kupoteza
moja kwa moja, unajua mimi sio mswahili na haya mambo kila mtu na IQ
yake mimi ata tukiachana tutabaki marafiki ila mwingine unakuta tatizo
sijui malezi au IQ sijui.
Source : EFM na Gardner & Bikirawakisukuma
0 Comments