Mamilioni
ya Watanzania sasa hivi yanatambua uwepo wa Mwanamitindo Flaviana
Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani na amekua
akiiwakilisha nchi yake vizuri tu pamoja na kuikumbuka kwa kusaidia
kulipa ada za Wasichana wasiokua na uwezo.
Good news ya leo ni Mwanamitindo huyu
kuendelea kushine kwenye matangazo ya kibiashara na time hii kafanya
hili tangazo la mavazi ya majira ya joto na kafanya na New York and
Company.
Picha zimetoka 8020fashionsblog.com
0 Comments