Umati
wa watu ukionekana katika eneo la Makutano ya Barabara ya Kawawa na
Uhuru, Karume jijini Dar es salaam kutokana na kuwepo kwa baadhi ya
walemavu wa viungo waliokaa katikati ya Barabara hizo kushinikiza kupewa
eneo la Karume ili waweze kufanya biashara zao, hali iliyopelekea njia
hizo kufungwa kwa muda na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa
barabara hiyo.
0 Comments