Katika
hali isyokuwa ya kawaida jana Bunge limelipuka kwa furaha kubwa sana
pale Rais JK aliyekuwa analiaga na kulivunja bunge alipomtaja mgombea wa
sasa wa Urais Waziri Mkuu mstaafu Lowasa,
hali
hiyo imewaacha watabiri wa siasa nchini kubaki solemba na kinachokuja
kwenye mchujo wa wagombea huko ndani ya CCM Dodoma sasa hivi.
Solomon G. Kadanga aissee lowassa ni rais mtarajiwa...dalili zimeonekana..
Hellen Lyimo Wewe hiyo maneno ya kumtoa panya pangoni . Lowasa oyeeeeeeeeeee
Benjamin Mbossa nimeona aisee sjui wanaanzaje kumkata
Lilly Mbaga Nisingeelewa kitu daaah presha ina pandan.....presha ina shuka acha nifuturu sasa afadhali
Mary Mkoka NIKO NASIKILIZA BUNGE.
AISEE LOWASA AMEFUNIKA .
MAKOFI YÀ NGUVU YAMIMINIKA KWA LOWASA BAADA YA KIKWETE KUMSHUKURU LOWASA
Kiango Mayweather Embu adisieni vizuri jamani wengine tuko mbali
Mjuni Charles kweli nimeamini!
TZtv Outlaw Benjamin,
Ndio maana inaitwa SIASA maana ya siasa ni Uongo, Kudangaya, Ahadi
zisizotimia na Kujinufaisha mwenyewe. Mwanasiasa akipata upenyo kidogo
tu anamkata mwenzie hata kama ni rafiki yake. It is called POLITICS my
friend, haina guarantee.
masamablog
0 Comments