Advertisement

Responsive Advertisement

Rais JK na Dk. Magufuli walivyokutana kuongea na wazee Dar August 19 2015… (Pichaz)

Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.00 AM

Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mtu wanguvu.. hii inahusu Chama cha CCM ambapo Rais Kikwete akiwa ameongozana na baadhi ya viongozi wa Chama hicho ikiwemo Abdulrahman Kinana, Mkuu wa Mkoa Dar Said Meck Sadick, pamoja na Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli  na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan.
Hapa ninazo pichaz kutoka Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam ambapo Rais JK na Mgombea Urais Dk. Magufuli wamekutana na kuongea na Wazee wa Dar es Salaam.
Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.13 AM
Dk John Magufuli akiwa na Abdulrahman Kinana
Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.25 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.34 AM
Rais Kikwete akisalimia wazee wa Dar
Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.42 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.51 AM
Said Meck Sadick, Mkuu wa mkoa Dar es salaam
Screen Shot 2015-08-19 at 9.34.59 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.35.07 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.35.15 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.35.41 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.35.52 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.36.01 AMScreen Shot 2015-08-19 at 9.36.17 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.36.27 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.36.39 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.36.57 AM
Msafara wa Rais Jk na Dk Magufuli akiondoka baada ya Mkutano Dar

Screen Shot 2015-08-19 at 10.42.46 AM
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Suleiman Kova.
Screen Shot 2015-08-19 at 10.42.53 AM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Screen Shot 2015-08-19 at 9.37.12 AM
Screen Shot 2015-08-19 at 9.37.12 AM

Post a Comment

0 Comments