Advertisement

Responsive Advertisement

SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA-DMV



IMG_1140Naibu waziri wa Mawasiliano,sayansi na teknolojia Mh.January Makamba akitoa hotuba katika sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika huko Laurel Maryland.
IMG_1058mh.January Makamba akiteta jambo na mkewe Ramona Makamba na afisa ubalozi Mindy Kasiga kushoto.
IMG_1130Afisa Ubalozi Mindy Kasiga akimtambulisha mgeni rasmi Mh.Januuary Makamba.
IMG_1134Mh.balozi Liberata Mulamula akisalimia watanzania wa DMV kwa njia ya Video.
IMG_1103 Dj.Luke Joe a.k.a Mzee wa Vijimambo na muandaaji wa shughuli hiyo akisalimia wageni waalikwa.
IMG_1106Rais wa Jumuiya ya watanzania Iddi Sandali akizungmza machache.
IMG_1071Keki ya kusheherekea miaka 52 ya Uhuru.
IMG_1036
Mshindi wa tatu Miss Tanzania USA Faith Kashaa akiimba wimbo wa taifa.

Post a Comment

0 Comments