Advertisement

Responsive Advertisement

DIAMOND Atinga tena kivazi kilicholeta utata Mkubwa sana kwenye Harusi ya P-SQUARE....Safari hii aomba Asichambwe...!!


Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyo vaa kwenye harusi ya P-Square (pichani), leo hii ameitinga tena na kurusha picha Instagram akiambatanisha na kadua ili watu wasimchambe.

Post a Comment

0 Comments