Good
news is kwa sasa aunt yake i mean aunt ezekiel ameamua kwenda dubai
kupunguza stress na msongamano wa mawazo, Aunt yake amefunguka kupiyia
makubwa haya kuwa hupendelea kwenda dubai pindi anapokuwa na stress na
matatizo yake binafsi ambayo huwa yanamsumbua akili yake,
aliskika
akisema hua akifika katika nchi hiyo huwa anarelax sana, mpaka huwa
ikifkia hatua ya yeye kurudi nchini anakuwa fresh kama amezaliwa upya.
0 Comments