Mshiriki Namba 08 Sophia Julius akiwa katika kiti cha Ushindi baada ya kuibuka mshindi wa kwanza |
Kinyang'anyiro
cha kumtafuta mlimbwende wa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama
kimemalizika usiku wa kuamkia leo kwa taji hilo kuchukuliwa na Mshiriki
Namba 08 Sophia Julius huku nafasi ya pili akienda kwa mshiriki namba 10
Nyange Warioba.
Katika
mashindando hayo mshiriki namba 02 Anna Charles ameshika nafasi ya
tatu, Mshiriki namba 07 Pendo Maximillian ameshika nafasi ya nne na
mshiriki namba 03 Magreth Victor ameshika nafasi ya tano.
Washiriki wote 11 wakiwa katika maandalizi ya kutolewa na kupata tano Bora usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Masabo Kahama |
Mshindi wa kwanza Sophia Julius akipewa zawadi |
Mshindi wa pili Nyangi Warioba naye akipewa zawadi |
Mshindi wa Tatu Anna Charles akepewa Zawadi yake |
Warembo wote 11 katika show ya kucheza kwa pamoja |
0 Comments